
Pamoja na kuachana Chris Brown bado anamtakia mema Rihanna.
Na sasa amemshauri Rihanna kuachana na tabia yake ya ulevi
na kujirusha ambayo anasema itamfanya aishie kufa kama Amy Winehouse.
Breezy, anadaiwa kumtumia meseji mpenzi wake huyo wa zamani
akimtaka kupunguza kupiga mtungi.
Rihanna mwenye miaka 24, alionekana kwenye picha akinywa bia
siku moja baada ya mazishi ya biibi yake na wakati akiwa mapumzikoni nchini
Barbados wiki hii huku akivuta sigara pia.
Rafiki wa Chris aliuambia mtandao wa HollywoodLife.com:
"Chris was really, really worried about her when he heard she was up
drinking and partying by herself.
"So he just wanted to reach out to her and show a
little support, you know?

Amesema Chris aliamua kumtumia meseji kumuambia aache kunywa
pombe lakini Rihanna hajajibu.
No comments:
Post a Comment