Pages

Saturday, July 27, 2013

IRENE PAUL NUSURA AZICHAPE KAVUKAVU.

STAA wa sinema za Kibongo, Irene Paul amejikuta akitofautiana kauli na msanii mwenzake, Neema Ndepanya hivyo kutaka kuzichapa kavukavu ‘live’.
 
Shuhuda wetu ambaye alilinusa sakata hilo a to z, alisema wawili hao walianza kama utani kubishanabishana kabla ya kufikia hatua ya kutaka kuzichapa ukweliukweli walipokuwa lokesheni.
 
“Walikuwa wakirekodi filamu ya Kichupa maeneo ya Mbezi jijini Dar sasa ile utaniutani mara ghafla wakashikana kiukweli ndipo mama Kawele alipoingilia na kuwaamua,” alisema shuhuda huyo.
Credit: GLP

1 comment:

  1. I hate this girl and i curse her from the bottom of my heart..she is a devil .anareta dharau kwenye biasharaza watu na angenikuta mwenyewe dukani ningemwitia mwizi apigwe ndio aisome number ... Usenge si intertain kabisa

    ReplyDelete