Pages

Sunday, April 13, 2014

Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

Mpaka sasa kuna foleni kubwa kutoka Darajani mpaka mlandizi na bado inazidi kuongezeka.
Na haieleweki yataisha lini wala saa ngapi, Gari moja aina ya tank limeshasombwa.
kwa wale mnaosafiri kupitia Ruvu ni vema mkaairisha safari.

No comments:

Post a Comment