Pages

Wednesday, June 27, 2012

MISS UNIVERSE WAFANYA ZIARA JIJINI DAR ES SALAAM


Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Usu Mallya  akiwapa semina   warembo wa Miss Universe 2012 walipotembelea katika ofisi za TGNP kujionea shughuli za  mtandao huo wa jinsia Tanzania  jijini Dar es salaam leo ambapo shindano hilo linatarajiwa kufanyika June 29 Mwaka huu.
 Walimbwende wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza semina hiyo

 Walimbwende wakijionea nguo mbalimbali  katika duka lijulikanalo kama (AMINA DESIGN)lililoko ndani ya jengo la ( QUALITY CENTRE HALL)liloko jijini Dar es salaam
Amina Design)Bi Amina M.Plummer akiongea na walimbwende hao walipotembelea kujionea mavazi mbalimbali katika duka hilo
Amina Design)Bi Amina M.Plummer akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo hao.

No comments:

Post a Comment