Pages

Wednesday, July 4, 2012

ASAS DAIRIES kwa bidhaa bora za maziwa


 

DAIMA huwezi zungumzia bidhaa za maziwa bila kutaja bidhaa za ASAS Dairies IRINGA ambao huzalisha bidhaa za aina mbalimbali zitokanazo na Maziwa halisi ya Ng’ombe.


Maonesho ya 36 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam yanaendelea katika Viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam ASAS DAIRIES wapo katika banda la KARUME fika hapo na ujipatie mahitaji yako ya Maziwa.

 


Bidhaa zimesheheni na vinavyostahili kuliwa vya Baridi utavipata baridi kwa fleva za kila namna

 


 


 Wateja wakubwa kwa watoto wakijipatia bidhaa za maziwa bora kutoka banda la ASAS ndani ya Maonesho ya Saba Saba.

 


Karibuni katika Banda la Bodi ya Maziwa Tanzania na utawakuta ASAS DAIRIES kwa bidhaa bora za Maziwa.

No comments:

Post a Comment