Pages

Monday, July 2, 2012

Rungwe wachoma ofisi na kufunga barabara kwa kutokuona faida yake

Wakazi wa Ndaga wilayani Rugwe wamefunga barabara ya Mbeya-Rungwe na geti la ushuru wa mazao kwa saa nne, na kuchoma ofisi husika kwa madai hawaioni faida ya kuwepo geti hilo kwani limejaa rushwa tupu na unyanyasaji wa Wakulima.

Fuatilia habari kamili kwenye blogu ya Mbeya Yetu (kwa picha zinazoonekana hapa).
Picture
Picture
Picture
Picture
Ofisi ya ushuru wa mazao imechomwa moto

No comments:

Post a Comment