Pages

Sunday, July 1, 2012

Jengo moja mtaa wa Livingstone, Kariakoo lashika moto na kuungua

Picture
Jengo la Ghorofa lililopo mitaa ya Kariakoo na Livingstone, jijini Dar es Salaam, likiwa limeshika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mara moja. Chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za manukato kimeteketea. (Picha na Emmanuel Ndege via Francis Dande).

No comments:

Post a Comment