Pages

Sunday, July 1, 2012

KUMBE MAMA MZAZI WA LUCY KOMBA NI R.P.C

Unaweza usiamini lakini ndo ukweli, mama mzazi wa staa wa muvi za Tanzania, Lucy Komba ni afande wa jeshi la polisi Tanzania.
Mama huyo anaitwa Marietha

Minangi Komba alionekana katika kipindi cha Kipima joto cha ITV hivi karibuni akiwa ndani ya sare za jeshi hilo akionekana mwenye msimamo wa maamuzi magumu katika kazi.
Mama huyo kwa sasa ni RPC wa Kanda Maalum ya ILala, jijini Dar es Salaam.


Lucy mwenyewe alipokutana na mwandishi wetu maeneo ya Kariakoo na kuulizwa kuhusu kamanda Marietha alikiri kuwa ni mama yake mzazi.
Lakini msanii huyo mwenye uhaba wa skendo, alikataakusema kama mama yake huyo anaingiza sheria za kijeshi hadi nyumbani kwake au la.





                                                                                 

No comments:

Post a Comment