Pages

Monday, July 2, 2012

Rais Kikwete ahudhuria Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda siku ya jana

Picture
Rais Jakaya Kikwete na Mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakipokea heshima za Marais muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda, leo asubuhi.
Picture
Rais Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wakikagua gwaride la heshima katika uwanja wa ndege wa Kigali.
Picture
Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Rais Kikwete na Mkewe Salma katika uwanja wa michezo wa Amahoro mjini Kigali Rwanda kwaajili ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Rwanda.
Picture
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Rwanda zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Amahoro jijini Kigali jana asubuhi. (picha zote na mdau Freddy Maro wa Ikulu)

No comments:

Post a Comment