Pages

Thursday, August 30, 2012

Tuko wangapi? Tulizana

 
"...Watu wengi walio katika mahusiano ya wapenzi wengi kwa wakati mmoja wanafikiri kwamba hawako katika hatari ya maambukizi ya magonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI kwa sababu wana wapenzi wawili au watatu ambao wamekuwa nao kwa muda mrefu. Lakini kuna uwezekano wa hawa wapenzi wakati huohuo wakawa na wapenzi wengine ambao hawafahamiani. Kwa hali hii, wapenzi hawa wanajikuta wakiwa wameunganishwa katika mtandao mkubwa wa ngono ambao unamuweka kila mmoja wao katika hatari ya kuambikizwa virusi vya UKIMWI..." Dr Fatma Mrisho, Chairperson, TACAIDS
                                                            Tuko wangapi? Tulizana
 Safi sana IRENEJAMIIBlog tumeipenda hii pia tunawapa hongera sana kwa kutoa elimu kazi njema na mafakio.
 



No comments:

Post a Comment