Gari aina ya Nadya likiwa limeharibika baada ya kugongwa na gari lenye namba za usajili T264 CBZ iliyotokea muda wa saa moja jioni siku ya jana.Kwa mujibu wa shuhuda hamna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo ila majeruhi waliokuwa katika gari hiyo ndogo wapo katika hospitali ya Iringa.Huku dereva wa gari hiyo akiwa ametoka mzima baada ya kusaidiwa na wasamaria wema.
No comments:
Post a Comment