Mkuu wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya bwana Gulamu Husein Sekifu
amenusulika kupigwa mawe na gari yake kuharibiwa vibaya na wanafunzi wa
chuo cha mafunzo ya huduma ya kwanza kilichopo Chimala wilayani Mbarali
baada ya Mkuu wa Wilaya kukifunga rasmi chuo hicho.
No comments:
Post a Comment