Pages

Thursday, October 25, 2012

AUNTY EZEKIEL'S KITCHEN PARTY USIKU WA JANA MLIMANI CITY

                      Chezea Aunty kabalisha kivazi sijui zitakuwa ngapi usiku wa jana.

 Habari ndo hiyo tena ya ukweli
Nguo ya ukwee katokeleza hatari
Kapendezajeeee
Mashosti wako kiafika zaidi leo! Full kutokeleza
Chezea Aunty kabalisha kivazi sijui zitakuwa ngapi usiku wa jana.
Aunty akitambulisha mashosti zake
Wema alitokeleza hivi. Full kupendeza (Props- Martin Kadinda)
Remember you saw it first here. More pics coming soon right here stay tuned...
Sorry about the poor quality better ones coming soon for now enjoy these
Source: Jestina George Blog

No comments:

Post a Comment