Pages

Saturday, October 20, 2012

Rayuu afukuzwa kwao, kisa kikiwa ni kupiga picha za utupu mtandaoni.

WAKATI msanii wa bongo movie Rayuu, picha zake zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili wake na tattoo kuvuja mtandaoni, ishu hiyo sasa imechukua sura mpya baada ya kudaiwa amefukuzwa kwao na sasa amepata makazi ya muda kwa mkurungezi wake Mr Chuzi ambaye mara nyingi amekuwa akimshauri kuachana na vitendo vinavyoweza kumchafulia jina lake.

No comments:

Post a Comment