Pages

Friday, November 30, 2012

AMANDA POSHY NA MPENZI WAKE MPYA BWANA MISOSI.

AMANDA POSHY na EMMANUEL LUSHAHU a.k.a BWANA MISOSI ni wapenzi wenye malengo ya kuja kuwa mume na mke.Amanda ambaye ni muigizaji wa movie za kibongo wa siku nyingi na Bwana misosi ni mwanamziki wa Bongo Fleva.Wote wanapendana sana IRENE MWAMFUPE JAMII BLOG inawatakia maandalizi mema ya ndoa yao siku zijazo.

No comments:

Post a Comment