Pages

Friday, November 2, 2012

BREAKING NEWS:WANANCHI WA IMEZU MBEYA WAFUNGA BARABARA KUU YA KUELEKEA MALAWI NA ZAMBIA.

Ni kutokana na lori la mizigo kugonga na kuwaua wanafunzi wawili wa shule ya chekechea.
Habari zaidi kuwajia baadae hapa ndani ya IRENEMWAMFUPE JAMII.

No comments:

Post a Comment