Pages

Monday, November 5, 2012

CRAZY GK NA DJ FETTY WAFANIKIWA KUMALIZA CHUO NA KUTUNUKIWA DEGREE YA KWANZA.

Mwanamuziki Crazy Gk na Dj Fetty Kutoka Clouds Fm wamefanikiwa Kumaliza chuo na Kupata Degree ya kwanza Pale Chuo cha Tumaini ..Hongera sana kwao.. Natumaini watakuwa ni mfano kwa Wasanii Wengine kuweza kupata Elimu.

Dj Fetty

Crazy Gk Akiwa na Ay na Mwana FA


Dj fetty na Mwana Fa pamoja na AY

No comments:

Post a Comment