Pages

Friday, November 9, 2012

Klabu ya Azam imewasimamisha wachezaji Deogratius Munishi, defenders Erasto Nyoni na Said Mourad.

Klabu ya Azam imewasimamisha wachezaji Deogratius Munishi, defenders Erasto Nyoni na Said Mourad kwa madai ya kuihujumu timu katika michezo iliyopita dhidi ya Klabu kongwe nchini. Pia Azam imesema suala hilo italifikisha TAKUKURU kwa uchunguzi zaidi. Unakubali kuwa kuna suala la rushwa katika michezo nchini?

No comments:

Post a Comment