Pages

Tuesday, November 6, 2012

TATIZO LA MAFUTA: VIJANA WAFUNGA BARABARA JIJINI MBEYA


KUTOKANA NA UPUNGUFU PAMOJA NA ONGEZEKO LA BEI ZA MAFUTA JIJINI MBEYA, LEO VIJANA WALIFUNGA BARABARA KUU IENDAYO ZAMBIA ENEO LA MAMA JOHN KWA MUDA WA SAA MOJA KABLA YA WANAUSALAMA KUWASILI ENEO HILO NA KUONDOA VIKWAZO VILIVYOKUWA BARABARANI HAPO.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG
Pichani juu mawe yaliyowekwa na vijana yakiwa yamezuia barabara kuu iendayo nchini Zambia.
Baadhi ya vijana wakiwa katika kituo cha kuuzia mafuta cha Oryx kusubiri huduma.

No comments:

Post a Comment