Pages

Monday, December 31, 2012

FERGUSON AWAKATA MAINI ASRENAL, ASEMA LUIS NANI HAUZWI

LONDON, ENGLAND
ALEX FERGUSON amefuta ndoto za Arsenal kutaka kumsajili winga wake Luis Nani, 26, wakati dirisha la usajili la mwezi Januari litakapofunguliwa.
Winga huyo wa Kireno amekuwa akihangaika kupona maumivu ya misuli ya paja yaliyomuweka nje tangu Novemba, lakini United imeeleza kuwa kuna mazungumzo ya kuongeza mkataba wake wa sasa – uvuke mwaka 2014.

No comments:

Post a Comment