Leo ni siku ya Ukimwi Duniani cheki Afya yako Ubadili Utaratibu Maisha yako.
Cheki
Afya yako Ubadili Utaratibu Maisha yako,ndo njia sahihi ya kuenzi
siku hii.Sio kunyoosheana vidole uko mitaani wakati hata hujijui
bado.Acha unyanyapaaji.
IRENE MWAMFUPE JAMII Blog tunakutakia siku njema na tukacheki
Afya zetutubadili utaratibu Maisha yetu.
No comments:
Post a Comment