Pages

Tuesday, December 25, 2012

TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KUSAKA TIKETI YA BRAZIL.

TIMU timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajiwa kuweka kambi nchini Afrika Kusini kwaajili ya kujiandaa na mechi za mchujo wa kombe la dunia ambazo fainali zake zitafanyika Brazil mwaka 2014.
Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura, alisema kufuatia ombi la kocha mkuu Kim Poulsen, kambi hiyo inatarijiwa kuanza Januari 6 mwakani.
Wambura alisema Poulsen ameomba japo mechi tatu za kimataifa ili kujiweka sawa.

No comments:

Post a Comment