Pages

Monday, December 3, 2012

VITUKO MSIBA WA SHARO: ROSE NDAUKA ALIPANDISHA MASHETANI.

MSANII nyota wa filamu, Rose Ndauka alipandisha mashetani siku ya mazishi ya SharoMilionea.
Baada ya kupandisha mashetani, Rose Ndauka alitaka kung’oa moja ya maturubali yalifungwa msibani hapo.
Kitendo cha msanii huyo kupandisha mashetani kilisababisha kizaazaa kikubwa kiasi cha askari polisi kusaidia kumtuliza.
Kali zaidi ni kwamba mashetani hayo yalisababisha nyota huyo wa filamu amwage radhi kwa kuacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake yasiyostahili kuonekana hadharani.Via www.saluti5.com

No comments:

Post a Comment