Pages

Tuesday, December 25, 2012

WASANII BARNABA NA SUMA LEE WATINGISHA JIJINI LONDON‏


Barnaba akifanya makamuzi.
Suma Lee akifanya vitu vyake.
Machifu wa Ghana.
Mr & Mrs Chabaka Kilumanga.
Wadau wakiserebuka.
Barnaba akiimba kwa hisia.
Suma Lee akijibu mashambulizi.
Mhe. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Chabaka Kilumanga akiongea machache.
MC Jestina akimtambulisha kwenye steji na promota Safina Kassu.
---
Salaam,
Kassu Ent iliandaa tamasha maalum kutoka kwa wasanii wetu wa kizazi kipya iliowajumuisha Barbaba na Suma Lee.  Tamasha hili  lilikwenda sambamba kwa kusherekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika siku ya jumamosi tarehe 22.12.12 jijini London katika ukumbi wa Stratford.
Mgeni rasmi alikua naibu Balozi Chabaka Kilumanga alieambatana na mkewe Irene Kilumanga. Aidha Mh Balozi Kilumanga aliwapongeza watanzania walioweza kuja kujumuika na kusherekea pamoja katika siku hii  na kuwasihi kuendeleza mshikamano kwa kuishi pamoja kwa amani na upendo.
Kwa maelezo zaidi picha na tarehe za shoo zijazo tembelea www.jestina-george.com
Asanteni,
Urban Pulse Creative.

No comments:

Post a Comment