Pages

Thursday, January 24, 2013

ARSENAL YAFANYA MAUAJI KWA WEST HAM

MABAO manne yaliyofungwa kwa haraka haraka ndani ya dakika 10 katika kipindi cha pili yaliipoteza kabisa West Ham jana usiku kwenye uwanja wa Emirates wakiwa wageni wa Arsenal katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza ulioisha kwa mabao 5-1.
WE'RE IN LUK ... Aaron Ramsey and Kieran Gibbs congratulate Lukas Podolski
Lucas Podolski (jezi namba 9) akipongeza
START THE CA ... Santi Cazorla fizzes one past Kevin Nolan
Carzola akiachia shuti
FRENCH FANCY ... Olivier Giroud celebrates putting Arsenal ahead
Oliver Giroud akisherehekea goli
Hadi mapumziko timu hizo zilitoshana nguvu ya 1-1, West Ham wakiwa wa kwanza kupata goli kupitia mkwaju wa Jack Collison dakika ya 18. Lucas Podolski akaisawasihia Arsenal dakika ya 22.
Dakika ya 47 hadi 57 Arsenal ikapata mvua ya magoli kupitia kwa Oliver Giroud (dak 47 na 57), Santiago Carzola (dak 53) na Theo Walcott (dak 54).
Via saluti 5 - Tanzania

No comments:

Post a Comment