
HUKUMU ya kesi iliyokuwa inamkabili staa wa filamu za Kibongo, Kajala
Masanja na mumewe imetolewa leo na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar. Katika hukumu hiyo Kajala amehukumiwa
kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 13 na
mumewe kwenda jela miaka saba au kulipa faini ya shilingi milioni 200.
Kajala alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini
na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada ya mumewe,
Faraji Agustino kukumbwa na msala wa kutakatisha fedha haramu.
Wasanii wa Bongo movie wanazichanga hapahapa kuzilipa ila zimepngua kidogo,Wema na Zamaradi wanakimbia ATM KUZICHUKUA ZINGINE.leo leo Kajala anafika nyumbani kwao
No comments:
Post a Comment