Pages

Wednesday, March 20, 2013

LWAKATARE AACHIWA HURU, AKAMATWA TENA

Wilfred Muganyizi Lwakatare, akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani juzi Jumatatu.
Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Muganyizi Lwakatare, muda huu ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mashitaka yote yaliyokuwa yanamkabili kufutwa na muda huohuo kukamatwa tene na kufunguliwa mashitaka mengine. Picha kutoka eneo hilo zitawajia hivi punde.

No comments:

Post a Comment