Ilikuwa sherehe ya aina yake wenyewe wanaita beseni.
Beseni
ni zawadi ambayo hupelekewa mzazi aliyejifungua nguo,mafuta na sabuni
za mtoto ni Mbagala Charambe kwa mdada huyo aliyejifungua siku chache
zilizopita.Wazazi wa mwana dada huyo walijipanga na kumnunulia
besen!!!!!!!
Matukio katika picha.
Waliandaa ngoma,muziki kwa ajili ya sherehe hiyo,pia waliandaa chakula na pombe.Baada ya kukabidhi beseni walianza kusherekea kwa kucheza muziki.
Cha ajabu muda ulivyozidi kwenda WALICHEZA HUKU WAKIVUA NGUO kama wanavyoonekana katika picha.
Ni aibu sana mbele ya watoto wanacheza na kuvua ngua,watoto wamejifunza nini!!!!!!!! Kuna umuhimu wa Serikali kuziangalia sherehe hizi za mitaaani kwa kuwa zina mafundisho mabaya kwa jamii yetu.
IRENE MWAMFUPE JAMII Blog tumeshangazwa na aibu hii!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment