Pages

Saturday, March 23, 2013

REST IN PEACE PROF.CHINUA ACHEBE

One of my favourite African authors.
Yule mwandishi wa kitabu cha Things Fall Apart,kama unakumbuka kukisoma kitabu cha yule shupavu Okonkwo na mwanaye...inasikitisha kwa kweli!Chinua Achebe amefariki akiwa na miaka 83.
 

No comments:

Post a Comment