Kufuatia
vurugu zilizojitokeza hii leo huko Arusha chuo cha Uhasibu ambapo
wanafunzi waliandamana na kuleta vurugu(Kupinga mauaji ya mwaafunzi
mwenzao) zilizopelekea Mkuu wa polisi kupigwa na mwe hadi kuumizwa.
TAARIFA.Chuo hicho kimefungwa rasmi kwa muda usiojulikana na wanafunzi hawatakiwi kuonekana katika eneo la chuo kuanzia sasa.
Zimetufika kupitia mdau wetu wa habari.
Chuo cha Uhasibu Arusha kimefungwa kwa muda usiojulikana.Wanafunzi walitakiwa kuondoka chuoni ifikapo saa kumi na mbili leo jioni.
Imetolwa na Uongozi wa Chuo
No comments:
Post a Comment