Pages

Monday, April 15, 2013

HACKERS WAIBOMOA WEBSITE YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM -( UDSM ) NA KUJAZA MATANGAZO YA NGONO.

Jana  mchana, mtandao  wa  chuo  kikuu  cha  Dar es salaam  uliingiliwa  na  mahackers  na  kujazwa  matangazo  ya  ngono.....
Matangazo  hayo  machafu  yalikuwa  yamewekwa Chini ya picha ya mkandala kwenye welcoming note ya vice chancelor......
MWONEKANO ULIVYOKUWA

Mpaka  mida  ya  saa  tano  usiku mtandao  huo   wa  chuo  maarufu  haukuwa  hewani .....(  www.udsm.ac.tz/ )
MWONEKANO  WAKE  MIDA   HIYO
 UPDATE:
Kwa  sasa  mtandao  huo uko  hewani  tena
Chanzo  www.thechoicetz.com

No comments:

Post a Comment