Pages

Monday, April 29, 2013

MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ACHIWA KWA DHAMANA

Leo mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya chama cha chadema Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana mashariti yalikuwa si mazito sana baada ya kutoa sh 1,000,000/= na kuonyesha kitambulisho.
Wadau wengi wa chadema wameweza kujitokeza kwa wingi mahakamani siku ya leo ,
Mpaka sasa Wananchi wa Arusha wanaelekea katika ofisi ya chadema wakiwa na mabango yakisomeka Mkuu wa mkoa wewe umechaguliwa na kikwete na  Lema ni wa kwetu.
Mbunge akiwa kizimbani

                                HABARI KAMILI KUWAJIA HAPA BAADAE 
                                    CHANZO CHA HABARI 2JIACHIE.COM

No comments:

Post a Comment