Pages

Wednesday, April 24, 2013

MKUU WA MKOA WA ARUSHA ALIPULIWA NA MBUNGE WA ARUSHA MJINI BAADA YA KUSHINDWA KUONGEA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA.

Baada ya mkuu wa mkoa kufika chuo cha uhasibu Arusha,alishindwa kuongea na wanafunzi hao kwa madai kwamba hawezi kuzungumza bila kipaza sauti.
 
            Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiwa na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu.
Mkuu wa mkoa mwenyewe anaitwa  kwenye tukio anakuja kama kwenye send-off wakati kaitiwa msiba " Ni maneno ya mbunge wa jimbo la Arusha bwana Godbless Lema.

Lema amesikika akisema "Mkuu huyo wa mkoa amekuja  si kwa ridhaa yake, bali ni cheo tu kimemleta hapa" Wanafunzi wa chuo hicho kwa sasa hawataki kusikia lolote ni maandamano tu wanataka.


No comments:

Post a Comment