Pages

Tuesday, April 23, 2013

VIBAKA JIJINI DAR WANASWA MTEGONI YOMBO VITUKA WAPIGWA NA KUUWAWA NA WANANCHI.

Lakin hata hivyo ni mara kadhaa sasa wezi wanakamtwa lakini walikuwa wakipelekwa polisi wanaachiwa bila kujua kesi zimekwendaje! "Kama hawa walishawahi kukamatwa huku huku folk land lakin walipelekwa polisi hatimae wakaachiwa.
 Na tangu mwezi huu wa nne  uanze sasa ni mara ya 4 mfululizo  matukio ya wizi na ujambazi wa kutumia mapanga yametawala! Tunaishi bila ya amani kabisa" alisema mama Hawa mkazi wa Folkaland
Katika picha juu amefahamika kwa jina la peter Majanga. Ni mkazi wa Kiwalani mpakani na  relini. Ameuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akikata dirisha ili aibe! Kijana huyo alikuwa na kibegi chenye waya ambazo pia  wanazotumia kukaba watu!  Tukio limetokea maeneo ya Yombo Vituka Folkaland asubuhi ya leo!.
                                                                          Hafidhi
Katila picha ya juu  alifahamika kwa jina moja tu la Hafidhi nae alikuwa na style ya peke yake alivua nguo zote akijaribu kujinasua aonekane kama kichaa na pia alikuwa amejipaka mafuta ambayo ukimshika anateleza ndio ilikuwa style yake ya kutaka kukimbia.

 Huyo alifahamika kwa jina moja tu la Hafidhi nae alikuwa na style ya peke yake alivua nguo zote akijaribu kujinasua aonekane kama kichaa na pia alikuwa amejipaka mafuta ambayo ukimshika anateleza ndio ilikuwa style yake ya kutaka kukimbia.
                                           Amefahamika kwa jina la peter Majanga.
                                        Amefahamika kwa jina la peter Majanga.
                                        Amefahamika kwa jina la peter Majanga.


No comments:

Post a Comment