Baadhi ya wanamuziki wa Five Star Taarab wakipozi ili kupiga picha
Sabaha Salum akiimba
Mnenguaji wa Ngoma ya Baikoko akinengua
Huyu naye kutoka Baikoko akifanya vitu vyake
Mashabiki wakicheza
Wakiangalia wanenguaji wa Baikoko wakifanya vitu vyao.
Zena wa Five Star akiimba
Juzi usiku Bendi ya Taarabu ya Five Star ilifanya onesho katika
Ukumbi wa Equator Grill uliopo Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam
pamoja na kundi la ngoma ya Baikoko kutoka Tanga. (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
No comments:
Post a Comment