Pages

Wednesday, May 8, 2013

FREEMAN MBOWE ALIPOTEMBELEA WAHANGA WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mh Freeman Mbowe akimjulia hali Apolinary Malamsha, mmoja wa majeruhi 20 waliolazwa katika hospitali ya St Elizabeth ya Jijini Arusha. Mbowe alifika hospitalini hapo mara baada ya kuzuru Kanisani mlipuko ulipotokea na kuwapa pole wafiwa na kuwataka wawe wavumilivu huku wakitaraji serikali itawapata wahusika ili ijulikane lengo la kufanya ulipuaji ule ni nini Baadae alienda Hopsitali ya Mt Meru na kisha nyumbani kwa familia iliyofiwa na mtoto wao wa miaka 9.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mh Freeman Mbowe akimjulia hali  Apolinary Malamsha, mmoja wa majeruhi 20 waliolazwa katika hospitali ya St Elizabeth ya Jijini Arusha. Mbowe alifika hospitalini hapo mara baada ya kuzuru Kanisani mlipuko ulipotokea na kuwapa ole wafiwa na kuwataka wawe wavumilivu huku wakitaraji serikali itawapata wahusika ili ijulikane lengo la kufanya ulipuaji ule ni nini Baadae alienda Hopsitali ya Mt Meru na kisha nyumbani kwa familia iliyofiwa na mtoto wao wa miaka 9. Mbowe na Rais Kikwete walizuru Arusha almost muda mmoja lakini walikuwa wakipishana maeneo tu ya kutembelea....
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mh Freeman Mbowe akimjulia mmoja wa majeruhi waliolazwa katika hospitali ya Mt Meru ya Jijini Arusha jana. Mbowe alifika hospitalini hapo mara baada ya kuzuru Kanisani mlipuko ulipotokea na kuwapa ole wafiwa na kuwataka wawe wavumilivu huku wakitaraji serikali itawapata wahusika ili ijulikane lengo la kufanya ulipuaji ule, hiyo ni baada ya kutoka Hopsitali ya St Elizabeth na kisha nyumbani kwa familia iliyofiwa na mtoto wao wa miaka 9.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mh Freeman Mbowe akimjulia  mmoja wa majeruhi waliolazwa katika hospitali ya Mt Meru ya Jijini Arusha jana. Mbowe alifika hospitalini hapo mara baada ya kuzuru Kanisani mlipuko ulipotokea na kuwapa ole wafiwa na kuwataka wawe wavumilivu huku wakitaraji serikali itawapata wahusika ili ijulikane lengo la kufanya ulipuaji ule, hiyo ni baada ya kutoka Hopsitali ya St Elizabeth na kisha nyumbani kwa familia iliyofiwa na mtoto wao wa miaka 9. Mbowe na Rais Kikwete walizuru Arusha almost muda mmoja lakini walikuwa wakipishana maeneo tu ya kutembelea....

No comments:

Post a Comment