Pages

Friday, May 3, 2013

MSOSI WA GOLDEN TULIP YA RABAT, JOHN BOCCO HADI KUJILAMBA.

Wachezaji wa Azam FC wakipata chakula cha mchana katoka hoteli ya Golden Tulip leo, Rabat, Morocco ambako wapo tangu Jumatatu kwa ajili ya mchezo wa marudiano, Raundi ya Tatu Kombe la Shirikisho Afrika keshokutwa mjini hapa.
Chakula kitamu utajua tu; John Bocco anajilamba vidole

Ni kujipimia; Brian Umony kushoto na Waziri Salum kulia

Uhondo; Abdi Kassim 'Babbi' akila kwa raha zake
Kocha Muingereza, Stewart Hall akijadiliana mambo na Mratibu wa Azam katika mashindano ya Afrika, Florian Kaijage jana Golden Tulip

Mbunifu; Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi kulia akiwaonyesha blog ya BIN ZUBEIRY wachezaji wa Azam FC kupitia simu lake la hatari la Galaxy SII

Mtu na kaka yake; Bin Zubeiry na Kaijage Golden Tulip

Mkono wa Sure Boy; Picha hii imepigwa na Sure Boy...jamaa si soka tu, ana ujuzi mwingi

No comments:

Post a Comment