WAASI WA M23 WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KWA MARA YA PILI.
Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter
Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa
Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu
Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.
No comments:
Post a Comment