Pages

Friday, May 10, 2013

WALIOSHIRIKI ULIPUAJI WATAJWA.

Victor Kalist 20,Joseph Lomayani 18 George Silayo 23 huyu George ni mfanyabiashara Olasit..wengine ni Mohamed sai 18 ni wa Ilala Dar.
Said Abdallah said 28 ni raia wa falme za kiarabu Abudhabi..
Abdulaziz Mubarak 30 wa saudia Arabia,Jassin Mbaraka 29 wa bondeni arusha,Foud saleem ahmed 28 raia wa falme za kiarabu na said Mohsen wa Najiran falme za kiarabu..

1 comment:

  1. NI WASHUKIWA au wameshathibitishwa kuwa ni washiriki, tuwe makini na hizi kauli, maana hapo inaonyesha kuwa `kweli wameshiriki' je kama ikigundulika kama sio kweli, huoni anaweza akawashitaki kwa hizi kauli. Nionavyo mimi, neno zuri ni `washukiwa wa ulipuaji..au nimekosea?

    ReplyDelete