Jioni
hii kuna jamaa kanipigia simu eti yeye ni mtu wa jeshi la
police,anahitaji sehemu ya kulaza madereva watakaoendesha msafara wa
Obama.
Na akasema Obama anakuja leo sio J3!!Hao madereva wametokea Kenya
na Uganda wenye uwezo wa kuzungumza kiingereza,kwa kuwa wa-tz hawajui
kuongea kiingereza.Akaniuliza nina vyumba vingapi available nikamuambia
23,vingine 20 viko occupied,akaniambia subiri azungumze na bossi
wake,baada ya dk chache akanipigia simu kuwa bossi amekubali hao drivers
waje kwetu, tukapigiana mahesabu kwa siku nane watakazokaa kwa bei ya
dola 50 per room(aliyosuggest yy)tukapata amount fulani hivi kubwa
kidogo!Akasema sasa mama kuna kijana anatoka ofisini anakuletea Cheque
sasa hivi ya million 13!!!duh nikashangaa/kufurahi lakini nikashtuka
sana how come can this be possible,then kasema 10% yake atakuja
kuichukua cheque ikisha clear ila akaniambia ati nimpe uyo kijana
anayeleta cheque 500,000 mh??sasa nikamuuliza biashara hatujafanya,sina
cash yeyote?cheque ni karatasi tu!!!how come nikupe hela sijaona watu
wana check-inn??sina cash??Jamaa asikate simu faster!!!!hahaaaaa hii
ilikuwa kali ya kuanzia weekend lol!!!!!Haya service provider wenzangu
muwe careful na hii ziara ya Obama isitulize!!!
No comments:
Post a Comment