Pages

Saturday, June 29, 2013

Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume.

Vincent Kigosi ama Ray na mrembo Jacqueline Wolper , wapo location wakishoot movie yao mpya ambayo bado hatujaweza kupata jina lake mpaka sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
 Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume. Angalia picha
Katika picha picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za mtandao mmoja wa kijamii nchini inaonekana wanaigiza kama mke na mume.

“Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,” ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.

Filamu hii inatengenezwa na kampuni ya RJ company iliyoshinda tuzo ya best production house kwenye tuzo zilizotolewa na kampuni ya usambazi wa filamu Tanzania Steps Entertainment Limited
  • Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume. Angalia picha 1
  • Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume. Angalia picha 2

No comments:

Post a Comment