Pages

Tuesday, June 25, 2013

THEO WALCOTT AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WA UTOTONI.

Winga wa kimataifa wa Arsenal Theo Walcott mapema wikiendi iliyopita amefunga ndoa na mchumba wake aliyedumu nae tangu wakiwa wadogo.

 Theo Walcott na mkewe Melanie Slade ambao wamedumu kwenye mahusiano rasmi kwa miaka tisa walifunga ndoa huko nchini Italy

No comments:

Post a Comment