Pages

Thursday, July 25, 2013

RAIS KIKWETE AWASILI KAGERA, AWEKA JIWE LA MSINGI UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Bukoba jana Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Bukoba jana Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wengine pamoja na wadau mara baada ya uzinduzi huo.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment