Pages

Wednesday, July 31, 2013

Selly afurahia Nando kutimulia BBA.

Aliyekuwa mshiriki kutoka Ghana Selly ambaye alitoka wiki kadhaa zilizopita Selly, ameonyesha jinsi gani alivyoshukuru na kufurahi baada ya kuona Nando kawa disqualified katika jumba la BBA. Muda mfupi baada ya Nando kupewa amri ya kuondoka katika jumba hilo kwa kuvunja masharti,kupitia twitter account yake Selly aliandika..

Selly na Nando wameshawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi katika jumba la BBA kabla ya Nando kumbwaga mawanadada huyo.Pia iliwahi kuripotiwa kuwa Selly kamuambukiza Nando gonjwa la zinaa.Inaelekea Selly ana hasira na Nando japo alishawahi kukiri kuwa anamzimia sana.
Selly
Nando

No comments:

Post a Comment