Pages
(Move to ...)
Nyumbani
Chombezo
Mahusiano
Makala
Saikolojia
Matangazo
Staa Wetu
Michezo
Magazeti
Makala
▼
Saturday, August 10, 2013
ALI KIBA, H BABA, WANAUME FAMILY NA TNG WAFUNIKA SHOO YA EID-EL-FITRI DAR LIVE
Ali Kiba akiupagawisha umati wa Dar Live kwa wimbo wake wa 'Usiniseme'.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakilishambulia jukwaa la kisasa la Dar Live.
Mhe Temba na Chegge kama kawa wakiwarusha mashabiki wa Dar Live ambao ndiyo uwanja wao wa nyumbani.
Bi Cheka akifanya yake stejini.
H Baba akifanya vitu vyake stejini.
Rose Ndauka akiwa jukwaani na kundi la TNG.
TNG kazini.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment