BAILEYS YADHAMINI ONESHO LA MAVAZI LA NECHA LA MBUNIFU DANIELA RAYMOND
Kampuni
ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kinywaji chake cha Baileys imedhamini
onesho la Mavazi lijulikanalo kama NECHA la mbunifu wa mavazi Daniela
Raymond. Onyesho hilo lilifanyika ktik kituo cha Utamaduni wa watu wa
Kamara.
No comments:
Post a Comment