Mshiriki wa Tanzania
aliyetolewa kwenye shindano la Big Brother 'The Chase' Feza Kessy,
atawasili nchini kesho (Jumatano) jioni saa kumi na mbili na nusu kwa
ndege ya South African Airways. Feza aliondolewa katika shindano la la Big Brother 'The Chase'
Jumapili iliyopita na kuungana na Mtanzania mwenzake Ammy Nando
aliyetangulia kutoka katika jumba hilo. Wadau mnaombwa kujitokeza
kumpokea mshiriki wetu hapo kesho.

No comments:
Post a Comment