Dereva wa Bajaj akisaidiwa na Wasamaria Wema kupelekwa hospitali.
8.Mmoja wa Wasamaria Wema akimweka vizuri dereva wa Bajaj.
...Akiangalia mkono wake jinsi alivyoumia.
Hiki ni kiatu cha abiria wa Bajaj ambaye hakueleweka alipoelekea baada ya ajali hiyo.
GARI aina ya Suzuki namba SM 4726 mali ya Manispaa ya Kinondoni
imegongana uso kwa uso jioni hii na Bajaj yenye namba za usajili T 761
CKR kwenye bonde linalounganisha Kinondoni na Magomeni, Jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment