Pages

Thursday, August 15, 2013

HATIMAYE FEZA KESSY ATUA BONGO KUTOKA BBA,TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YAKE HAPA


_MG_0056
Mshiriki wa Big brother the Chase Feza Kessy amefika Tanzania leo usiku saa moja akitokea South Africa. Airport kulikuwa na mama yake mzazi,kaka yake,mwanae,team ya Multi choice ikiongozwa na Barbara pamoja na mashabiki wengi. Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa, picha nyingine na video zinakujia hivi karibuni. _MG_0012
_MG_0051
_MG_0069
Feza na mwanaye
_MG_0071
_MG_0110
_MG_0118
_MG_0119
DSCN2796
DSCN2801
DSCN2812
DSCN2836
DSCN2837

MILLARDAYO.COM

No comments:

Post a Comment