Pages

Monday, August 12, 2013

LEO TAREHE 12 AUGUST NI SIKU YA BIRTHDAY YANGU - IRENE MWAMFUPE NDAUKA.

Leo ni kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa napenda kuwashukuru wote mnaonitumia salamu za pongezi.


Pia wote tuma au mlionitumia zawadi mbalimbali kiukweli sina cha kuwalipa zaidi ya kuuweka upendo wenu moyoni mwangu.

Shukrani kwa wafanyakazi wenzangu wa Global Publishers, Wadau wetu wa blog ya IRENE MWAMFUPE JAMII Blog na Marafiki zangu wote.

No comments:

Post a Comment